Kizinza ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wazinza. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kizinza imehesabiwa kuwa watu 138,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kizinza iko katika kundi la E20.
Kizinza