Back
Kongo
AF
كونجو (توضيح)
Arabic
Konqo
AZ
Конго (мәғәнәләр)
BA
Конга
BE
Конга
BE-X-OLD
Конго
Bulgarian
Kongo
BR
Kongo
BS
Kongo
CEB
Kongo
Kongo
, Congo, na Kongō ni jina la kutaja mambo mbalimbali:
Mto wa Kongo
ambao ni kati ya mito mikubwa zaidi ya
Afrika
na ya
dunia
; pia eneo la
beseni
lake (
Bonde la Kongo
)
Nchi mbili
katika
Afrika ya kati
:
Jamhuri ya Kongo
(
mji mkuu
Brazzaville
), kabla ya uhuru "
Kongo ya Kifaransa
"
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
(mji mkuu
Kinshasa
), kabla ya uhuru "
Kongo ya Kibelgiji
" (1908-1960)
Ufalme wa Kongo
uliokuwa
dola
kubwa katika
Angola
ya Kaskazini na Kongo ya Magharibi (1400-1914) BK.
Taifa huru la Kongo
(1885-1908)
Jamhuri ya Kongo (Léopoldville) (1960-1964)
Kongo >
Bakongo
,
kabila
la
Kibantu
lenye
watu
milioni
5 katika Kongo, Angola na
Gabon
.
Kongo >
Kikongo
,
lugha
ya Bakongo
Mlima wa Kongo
katika nchi ya
Japani
.
"Kongo" imekuwa
jina la meli za kijeshi
huko Japani kutokana na mlima huu.
Kongo
Dodaje.pl - Ogłoszenia lokalne