Kumi na saba

Kumi na saba ni namba inayoandikwa 17 kwa tarakimu za kawaida na XVII kwa zile za Kirumi.

Ni namba asilia inayofuata 16 na kutangulia 18.

17 ni namba tasa.


Kumi na saba

Dodaje.pl - Ogłoszenia lokalne