Kumi na sita

Kumi na sita ni namba inayoandikwa 16 kwa tarakimu za kawaida na XVI kwa zile za Kirumi.

Ni namba asilia inayofuata 15 na kutangulia 17.

Vigawo vyake vya namba tasa ni: 2 x 2 x 2 x 2 (au 24).


Kumi na sita

Dodaje.pl - Ogłoszenia lokalne