Kumi na tatu ni namba inayoandikwa 13 kwa tarakimu za kawaida na XIII kwa zile za Kirumi. Inafuata 12 na kutangulia 14.
13 ni namba tasa.
Kumi na tatu