Eneo | 92,100 km² |
Wakazi(2001) | 9,426,019 |
Lugha | Kizulu (80.6%) Kiingereza (13.6%) Kixhosa (2.3%) Kiafrikaans (1.5%) |
Wakazi kimbari | Waafrika Weusi(85.3%) Wenye asili ya Asia (8.5%) Wazungu(4.7%) Chotara(1.5%) |
Mji Mkuu | Pietermaritzburg |
’‘‘Mji Mkubwa’’’ | Durban |
Waziri Mkuu | S'bu Ndebele (ANC) |
KwaZulu-Natal ni moja kati ya majimbo tisa ya Afrika Kusini. Imepakana na Eswatini, Msumbiji, Lesotho, Bahari Hindi na majimbo ya Afrika Kusini ya Mpumalanga, Rasi ya Mashariki na Dola Huru. Jimbo liliundwa 1994 kwa kuunganisha jimbo la Natal na bantustan ya KwaZulu. Mji mkuu ni Pietermaritzburg.