| |||||
Kaulimbiu ya taifa: The love of liberty brought us here (Upendo wa uhuru ulituleta hapa) | |||||
Wimbo wa taifa: All Hail, Liberia, Hail! | |||||
Mji mkuu | Monrovia | ||||
Mji mkubwa nchini | Monrovia | ||||
Lugha rasmi | Kiingereza | ||||
Serikali | Jamhuri Joseph Boakai Jeremiah Koung | ||||
Ilianza • Tarehe |
na ACS 26 Julai 1847 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
111,369 km² (103rd) 13.514% | ||||
Idadi ya watu - Julai 2023 kadirio - 2008 sensa - Msongamano wa watu |
5,506,280 (120th) 3,476,608 35.5/km² (180th) | ||||
Fedha | dola ya Liberia (LRD )
| ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
GMT (UTC) - (UTC) | ||||
Intaneti TLD | .lr | ||||
Kodi ya simu | +231
- |
Liberia,rasmi Jamhuri ya Liberia, ni nchi iliyoko katika Magharibi mwa Afrika, inapakana na Sierra Leone upande wa magharibi, Guinea upande wa kaskazini, na Kodivaa upande wa mashariki, ikiwa na pwani ya Bahari ya Atlantiki upande wa kusini. Kwa idadi ya watu takribani milioni 5.5, inashika nafasi ya 104 duniani kwa idadi ya watu. Mji mkuu na mji mkubwa zaidi wa Liberia ni Monrovia. Liberia inajulikana kwa kuwa jamhuri ya kwanza ya Kiafrika kupata uhuru, iliyoanzishwa na watumwa wa Amerika waliorudi nyumbani katika karne ya 19.