Muonekano wa mkoa wa Lombardia ulioko ndani ya mji wa Milano
Bendera ya Lombardia.
Mahali pa Lombardia katika Italia
Lombardia ni mkoa wa Italia. Ndio mkoa wenye watu wengi zaidi.
Unaongoza kwa utajiri kati ya mikoa yote ya Ulaya.
Mji mkuu wake ni Milano.