Lucknow ni jiji la Jimbo la Uttar Pradesh nchini Uhindi lenye wakazi milioni 2.8 (2011). Ni makao makuu ya jimbo na mji mkubwa wa kumi na moja nchini Uhindi.
Lucknow