Luxor (kwa Kiarabu: الأقصر al-uksur) ni mji katika Misri ya Kusini. Mnamo mwaka wa 2012, karibu watu 506,588 waliishi huko. [1] Inatembelewa na watalii wengi sana kutoka kote duniani sababu ya mahekalu ya Luxor na Karnak.
Luxor imejengwa juu ya sehemu ndogo ya Thebes iliyokuwa mmoja wa miji mikubwa ya Misri ya Kale na mara kadhaa mji mkuu wa nchi. [2]
Upande wa pili wa Mto Nile, unaotazama Luxor, kuna Bonde la Wafalme na Hekalu la Hatshepsut kwenye eneo linaloitwa Deir Bahri.
{{cite web}}
: Unknown parameter |=
ignored (help); Unknown parameter |https://archive.today/20121210181859/http://www.world-gazetteer.com/wg.php?x=
ignored (help) (retrieved 2010-7-27)
{{cite web}}
: Unknown parameter |=
ignored (help)