Lyndon B. Johnson | |
![]() Lyndon B. Johnson, mnamo Machi 1964 | |
Muda wa Utawala Novemba 22, 1963 – Januari 20, 1969 | |
Makamu wa Rais |
|
mtangulizi | John F. Kennedy |
aliyemfuata | Richard Nixon |
tarehe ya kuzaliwa | Stonewall, Texas, Marekani | Agosti 27, 1908
tarehe ya kufa | Januari 22, 1973 (umri 64) Stonewall, Texas, Marekani. |
mahali pa kuzikiwa | Lyndon B. Johnson National Historical Park |
chama | Democratic |
ndoa | Lady Bird Johnson (m. 1934) |
watoto | Lynda Bird Johnson Robb na Luci Baines Johnson |
mhitimu wa | Texas State University |
Fani yake | Mwalimu |
signature | ![]() |
Lyndon Baines Johnson (27 Agosti 1908 – 22 Januari 1973) alikuwa Rais wa 36 wa Marekani kuanzia mwaka wa 1963 hadi 1969. Kaimu Rais wake alikuwa Hubert H. Humphrey (1965-69).