Majadiliano ya mtumiaji:Muddyb

Karibu Katika Ukurasa wa Majadiliano!

Wikipedia:Babel
sw Mtumiaji huyu lugha mama yake ni Kiswahili.
en-3 This user is able to contribute with an advanced level of English.



Ndugu Muddy, karibu kwenye wikipedia ya Kiswahili! Kuna kazi nyingi. Naomba uangalie makala ya "Msaada wa kuanzisha makala" (utaipata pia kwa kubonyeza "msaada" hapo upande wa kushoto). Ukiwa na swali lolote uliza tu. Wakati huu ni hasa Oliver, Ndesanjo pamoja nami walio tayari kusaidia. --Kipala 17:17, 24 Agosti 2007 (UTC)[jibu]


Majadiliano ya mtumiaji:Muddyb

Dodaje.pl - Ogłoszenia lokalne