Marcus Aurelius (26 Aprili 121 – 17 Machi 180) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kuanzia 8 Machi 161 hadi kifo chake.
Alimfuata Antoninus Pius. Mpaka 169 alitawala pamoja na Lucius Verus, na kuanzia 177 alitawala pamoja na mwana wake, Commodus.
Marcus Aurelius