Martin Van Buren | |
![]() | |
Muda wa Utawala Machi 4, 1837 – Machi 4, 1841 | |
Makamu wa Rais | Richard Mentor Johnson |
mtangulizi | Andrew Jackson |
aliyemfuata | William Henry Harrison |
tarehe ya kuzaliwa | Kinderhook, New York, Marekani | Desemba 5, 1782
tarehe ya kufa | 24 Julai 1862 (umri 79) Kinderhook, New York, Marekani |
mahali pa kuzikiwa | Kinderhook Reformed Church Cemetery |
ndoa | Hannah Hoes (m. 1807–1819) |
watoto | 5 |
signature | ![]() |
Martin Van Buren (5 Desemba 1782 – 24 Julai 1862) alikuwa Rais wa nane wa Marekani kuanzia mwaka wa 1837 hadi 1841. Kaimu Rais wake alikuwa Richard M. Johnson.