“Maumivu” | |||||
---|---|---|---|---|---|
![]() | |||||
Single ya Bob Junior akiwa na ROMA | |||||
Imetolewa | 14 Agosti 2014 | ||||
Imerekodiwa | 2014 | ||||
Aina | Hip Hop na Bongo Flava | ||||
Studio | Sharobaro Records | ||||
Mtunzi | Bob Junior ROMA | ||||
Mtayarishaji | Bob Junior | ||||
Mwenendo wa single za Bob Junior akiwa na ROMA | |||||
|
Maumivu ni jina la kutaja wimbo uliotungwa na Bob Junior akiwa na mwimbaji wa muziki wa hip hop ROMA. Wimbo unazungumzia mtu anayejitia mwema ilhali si mwema. Wimbo umerekodiwa baada ya ahadi aliyoifanya ROMA mapema 2014 ya kwamba iwapo Brazili watafungwa katika michuano ya Kombe la Dunia, basi atatoka Tongwe Records na kuhamia Sharobaro Records kwa Bob Junior. Ahadi ameitimiza.