Mfanyabiashara ni mtu ambaye anajihusisha na shughuli za kuuza na kununua bidhaa kwa lengo la kupata faida ili kuweza kujiinua au kupata maendeleo ya kiuchumi [1].
Mjasiriamali ni mfano mzuri wa mfanyabiashara.
Mfanyabiashara