Migori

Migori, Kenya
Migori
Nchi Kenya
Kaunti Migori
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 61,049

Migori ni mji wa Kenya magharibi, makao makuu ya kaunti ya Migori.

Mwaka 2009 ulikuwa na wakazi 61,049[1].

  1. Sensa ya Kenya 2009 Ilihifadhiwa 9 Januari 2019 kwenye Wayback Machine., tovuti ya KNBS, ilitazamwa Januari 2009.

Migori

Dodaje.pl - Ogłoszenia lokalne