Mizizi ya dhambi, au vilema vikuu au vichwa vya dhambi ni orodha ya maovu ambayo tangu zamani za mababu wa Kanisa[1] katika maadili ya Ukristo yanahesabiwa kuelekeza binadamu kutenda dhambi nyingine, hata kubwa zaidi.
[2]
Kwa kawaida inatajwa kuwa saba,[3] zote zikitokana na umimi usiozingatia ukweli.