Mjusi-kafiri
|
Nikwata (Hemidactylus frenatus)
|
Uainishaji wa kisayansi
|
Himaya:
|
Animalia (Wanyama)
|
Faila:
|
Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
|
Nusufaila:
|
Vertebrata (Wanyama wenye uti wa mgongo)
|
Ngeli:
|
Reptilia (Wanyama wenye damu baridi na magamba ngozini)
|
Oda:
|
Squamata (Mijusi, mijusi-nyungunyungu na nyoka)
|
Nusuoda:
|
Lacertilia (Mjusi)
|
Oda ya chini:
|
Gekkota (Mijusi-kafiri)
|
|
Ngazi za chini
|
Familia 7:
- Carphodactylidae
- Diplodactylidae
- Eublepharidae (Mijusi-kafiri wenye kope)
- Gekkonidae (Mijusi-kafiri wa kawaida)
- Phyllodactylidae
- Pygopodidae (Mijusi-kafiri bila miguu)
- Sphaerodactylidae
|
Mijusi-kafiri ni mijusi wa oda ya chini Gekkota wasio na kope (isipokuwa familia Eublepharidae) na wanaokiakia usiku (isipokuwa mijusi-kafiri mchana). Spishi zinazoishi katika nyumba za watu huitwa nikwata pia.
Mijusi hawa ni kundi lenye spishi nyingi kuliko makundi mengine: takriban spishi 1500, nyingi katika Afrika.