Mkoa wa Caprivi

Mahali pa Caprivi katika Namibia

Mkoa wa Caprivi ni moja ya mikoa 13 ya kujitawala ya Namibia lenye wakazi 79,852 kwenye eneo la 19,532 km². Mji mkuu ni Katima Mulilo.


Mkoa wa Caprivi

Dodaje.pl - Ogłoszenia lokalne