Mkoa wa Katanga Juu Haut-Katanga |
|
![]() Haut-Katanga |
|
Majiranukta: 11°40′S 27°28′E / 11.667°S 27.467°E | |
Nchi | Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo |
---|---|
Wilaya | 6 |
Mji mkuu | Lubumbashi |
Serikali | |
- Gouverneur | |
Eneo | |
- Jumla | 132,425 km² |
Idadi ya wakazi (2020) | |
- Wakazi kwa ujumla | 5,718,800 |
Mkoa wa Katanga ya Juu ni mmojawapo kati ya mikoa 26 ya kujitawala ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Idadi ya wakazi wake ni takriban 5,718,800.
Mji mkuu ni Lubumbashi.