Mkoa wa Khomas ni moja ya mikoa 13 ya kujitawala ya Namibia lenye wakazi 250,305 (2001) kwenye eneo la 36,805 km². Mji mkuu ni Windhoek.
Mkoa wa Khomas