Mkoa wa Tanganyika | |
Mahali pa Mkoa wa Tanganyika katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo | |
Majiranukta: 05°56′S 29°12′E / 5.933°S 29.200°E | |
Nchi | Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo |
---|---|
Wilaya | 6 |
Mji mkuu | Kalemie |
Serikali | |
- Gouverneur | |
Eneo | |
- Jumla | 134,940 km² |
Idadi ya wakazi (2015) | |
- Wakazi kwa ujumla | 3,062,000 |
Mkoa wa Tanganyika ni mmojawapo kati ya mikoa 26 ya kujitawala ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Uko upande wa Mashariki wa nchi likipakana na nchi ya Tanzania na Ziwa la Tanganyika.
Idadi ya wakazi wake ni takriban 3,062,000.
Mji wake mkuu ni Kalemie.