Mlemavu

an athlete tilts his wheelchair and raises an arm to block his opponent's shot
Mechi ya mpira wa kikapu kati ya timu za walemavu kutoka Afrika Kusini na Iran mwaka 2008.

Mlemavu ni mtu mwenye upungufu wa kiungo au viungo fulani vya mwili. Pia kuna ulemavu wa ngozi (taz. albino). Si ugonjwa wa muda tu, bali hali ya kudumu.

Mara nyingi hali hiyo husababishwa na ajali au kuzaliwa hivyo hivyo.

Baadhi yao huishia kuombaomba barabarani na kuwa tegemezi kwa jamii inayowazunguka. Lakini wanaweza kufundishwa elimu au ufundi fulani ili wajipatie riziki zao.


Mlemavu

Dodaje.pl - Ogłoszenia lokalne