| |||||
Kaulimbiu ya taifa: "Dayar Mongol" | |||||
Wimbo wa taifa: Bügd Nairamdakh Mongol | |||||
Mji mkuu | Ulaanbaatar | ||||
Mji mkubwa nchini | Ulaanbaatar | ||||
Lugha rasmi | KiMongolia | ||||
Serikali | Demokrasia ya kibunge Khaltmaagiin Battulga Luvsannamsrain Oyun-Erdene | ||||
Uhuru Kutangazwa |
Kutoka Uchina 11 Julai 1921 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
1,564,116 km² (18th) 0.43 | ||||
Idadi ya watu - Januari 2020 kadirio - 2000 sensa - Msongamano wa watu |
3,278,290 (134th) 2,650,952 1.97/km² (238th) | ||||
Fedha | Tugrug (MNT )
| ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC+7) (UTC+8) | ||||
Intaneti TLD | .mn | ||||
Kodi ya simu | +976
- |
Mongolia (kwa Kimongolia: Монгол Улс, mongol uls) ni nchi ya bara la Asia.
Imepakana na nchi za Urusi na Uchina.
Ni nchi kubwa ya 19 duniani lakini kuna wakazi wachache tuː jumla milioni 2.6 hivyo msongamano wa watu ni mdogo sana.
Sehemu za kusini mwa Mongolia ya kihistoria ziko ndani ya Jamhuri ya Watu wa China.