Msikiti wa Taifa wa Abuja
Msikiti wa Taifa wa Abuja, pia unajulikana kama Msikiti wa Taifa wa Nigeria, ni msikiti mkubwa wa taifa nchini Nigeria, nchi yenye Waislamu wengi walio thabiti barani Afrika.
Msikiti huo ulijengwa mnamo mwaka wa 1984[1] na u wazi hata kwa umma ambao si Waislamu, kasoro katika sala za masheha tu.
Ustadhi Musa Mohammed ndiye imamu mkuu katika msikiti huu.[2]
- ↑ "Abuja National Mosque". ArchNet. Massachusetts Institute of Technology. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2005-03-26. Iliwekwa mnamo 2007-08-08.
- ↑ Ozoemena, Charles; Olasunkanmi Akoni; Wahab Abdullahi (2005-11-03). "Sallah: Obasanjo hosts Atiku, others". Vanguard online. Vanguard Media Limited. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-10-09. Iliwekwa mnamo 2007-08-08.