'
|
Mtumjiaji huyu amefariki.. Hakuna haja ya kurudi tena hapo baadaye.
|
"Hakuna mwisho wa kutunga vitabu,
na kusoma sana huuchosha mwili" Kitabu cha Mhubiri 12,12
Lugha
|
sw-3
|
Mtumiaji huyu anaweza kushiriki kwa Kiswahili cha kiwango cha juu.
|
la-1
|
Hic usor simplici latinitate contribuere potest.
|
nds-1
|
Disse Bruker snackt ’n beten Plattdüütsch.
|
'
|
Mtumjiaji huyu amefariki.. Hakuna haja ya kurudi tena hapo baadaye.
|
|
Nina nywele lakini nimependa jina hili la Kipala. Nikiwa Mjerumani nimekaa miaka mingi Tanzania na Kenya. Hata nikihofia ya kwamba nimeanza kutumia Kiswahili cha Nairobi hapo na pale bado naona nitoe shukrani zangu kwa Afrika ya Mashariki kwa njia ya kusaidia kujenga Wikipedia ya Kiswahili.
Basi jamani, kuna kazi, twendeni!
Mwaka 2018 Kipala amerudi Tanzania kwa miaka kadhaa akifurahia kushirikiana na wanawikipedia wenzake waliopo Afrika!