Mwanafalsafa ni mtaalamu wa fani ya falsafa, iliyoanzishwa katika Ugiriki ya Kale na ikaenea duniani kote hadi leo.
Mwanafalsafa