Jiji la Mwanza | |
Picha ya angani ya Mji wa Mwanza | |
Majiranukta: 2°31′S 32°54′E / 2.517°S 32.900°E | |
Nchi | Tanzania |
---|---|
Mkoa | Mwanza |
Wilaya | Nyamagana Ilemela |
Serikali[1] | |
- Aina ya serikali | Jiji |
- Mstahiki Meya | Sima Constantine Sima |
- Mkurugenzi wa Jiji | Selemani Yahaya Sekiete |
Eneo | |
- Jumla | 256 km² |
- Kavu | 184 km² |
- Maji | 72 km² |
Mwinuko | 1,140 m (3,737.7 ft) |
Idadi ya wakazi (2022)https://www.nbs.go.tz. | |
- Wakazi kwa ujumla | 1,004,521 |
EAT | (UTC+3) |
Kodi ya simu | 028 |
Tovuti: Halmashauri ya Jiji la Mwanza |
Jiji la Mwanza ni mji nchini Tanzania ambao ni makao makuu ya Mkoa wa Mwanza. Mji upo kando la ziwa Viktoria Nyanza Kulingana na sensa ya mwaka 2012 idadi ya wakazi wake ilihesabiwa kuwa 706,453 (ukijumlisha wakazi wa Wilaya ya Nyamagana na sehemu za Wilaya ya Ilemela).[2]: 173 Mwaka 2022 walihesabiwa 1,004,521 [3].
Jiji hili limekuwa na vivutio mbalimbali vikiwemo mawe yaliyo katika Ziwa Victoria katika eneo la Nyanza. Pia jirani kuna hifadhi za wanyama wa porini kama Sanane, ambapo kuna wanyama kama simba, swala, pundamilia, sokwe,duma na chui
<ref>
tag; no text was provided for refs named MwanzaCC
<ref>
tag; no text was provided for refs named Sensa_2012