Blimp ya kampuni ABC yatangaza matairi ya GoodyearBlimp ya "Spirit of Dubai" yatangaza mradi wa Dubai "Palm Jumeirah"Muundo wa Zeppelin yenye fremu imaraZeppelin NT ya kisasa juu ya mji wa Frankfurt
Ndegeputo (au purutangi) ni chomboanga kinachoelea kwa nguvu elezi ya gesi iliyoko ndani ya ganda lake. Chini ya chumba cha gesi inabeba behewa ya abiria na mizigo. Inasukumwa na injini za parapela.