Nguzo (kwa Kiingereza: column au pillar) ni sehemu ya jengo inayobeba uzito wa juu.
Katika Ukristo, Mtume Paulo alifananisha Kanisa na nguzo ya ukweli (1Tim 3:15).
Katika Uislamu, mambo matano yanahesabiwa kuwa nguzo zake.
Nguzo