Kwa maana nyingine ya neno "Niger" tazama Niger (maana)
| |||||
Kaulimbiu ya taifa: Fraternité, Travail, Progrès (Undugu, Kazi, Maendeleo) | |||||
Wimbo wa taifa: La Nigerienne | |||||
Mji mkuu | Niamey | ||||
Mji mkubwa nchini | Niamey | ||||
Lugha rasmi | Kifaransa | ||||
Serikali | Jamhuri Mohamed Bazoum Ouhoumoudou Mahamadou | ||||
Uhuru imetangazwa |
kutoka Ufaransa 3 Agosti 1960 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
1,267,000 km² (ya 22) 0.02% | ||||
Idadi ya watu - 2018 kadirio - 2012 sensa - Msongamano wa watu |
22,442,831 (ya 61) 17,138,707 12.1/km² (ya 175) | ||||
Fedha | Franki ya CFA (XOF )
| ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC+1) (UTC+2) | ||||
Intaneti TLD | .ne | ||||
Kodi ya simu | +227
- |
Niger (pia Nijeri) ni nchi kubwa zaidi ya Afrika ya Magharibi kwa eneo, lakini 80% ni katika jangwa la Sahara.
Imepakana na Algeria na Libya upande wa kaskazini, Mali na Burkina Faso upande wa magharibi, Chad upande wa mashariki na Nigeria pamoja na Benin upande wa kusini.