| |||||
Kaulimbiu ya taifa: {{{national_motto}}} | |||||
Wimbo wa taifa: Ko e Iki he Lagi | |||||
Mji mkuu | Alofi | ||||
Mji mkubwa nchini | |||||
Lugha rasmi | Kiniue, Kiingereza | ||||
Serikali | Ufalme wa kikatiba Malkia Elizabeth II wa Uingereza Anton Ojala Young Vivian | ||||
Nchi shiriki Katiba ya Niue |
19 Oktoba 1974 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
260 km² () 0 | ||||
Idadi ya watu - Julai 2011 kadirio - Msongamano wa watu |
1,611 (221) 5.35/km2/km² (--) | ||||
Fedha | New Zealand dollar (NZD )
| ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC-11) (UTC) | ||||
Intaneti TLD | .nu | ||||
Kodi ya simu | +683
- |
Niue ni nchi ya kisiwani katika Pasifiki ya kusini.
Ni nchi ya kujitawala inayoshiriki na New Zealand inayoratibu siasa ya nje na mambo ya kijeshi.
Karibu wenyeji wote wanaishi huko New Zealand.
Niue iko km 2,400 kaskazini-magharibi kwa New Zealand kati ya Tonga, Samoa na Visiwa vya Cook.
Inahesabiwa kati ya visiwa vya Polinesia ikiitwa "Mwamba wa Polinesia".
Wakazi ni Wakristo, hasa Wakalvini (67%), halafu Wakatoliki (10%). Pia kuna Wamormoni (10%).