Nunavut







Nunavut

Bendera

Nembo
Nchi Bendera ya Kanada Kanada
Mji mkuu Iqaluit
Eneo
 - Jumla 1,936,113 km²
Tovuti:  http://www.gov.nu.ca/
Mwinuk, Arviat.

Nunavut (kwa Kiinuktitut:ᓄᓇᕗᑦ, nchi yetu) ni eneo kubwa la Kanada upande wa kaskazini ya nchi, ambalo tangu 1999 limetengwa na Northwest Territories kwa ajili ya Waeskimo.

Imepakana na Manitoba, Saskatchewan na Northwest Territories.

Nunavut ina wakazi wapatao 31,556 (2009) wanaokalia eneo la kilomita za mraba zipatazo 2,093,190.

Mji mkuu na mji mkubwa ni Iqaluit.

Kuna lugha rasmi 4:

  1. Kiinuktitut
  2. Kiinuinnaqtun
  3. Kiingereza
  4. Kifaransa

Nunavut

Dodaje.pl - Ogłoszenia lokalne