Nyati-maji

Nyati-maji
Nyati-maji wa kike na ndama (Bubalus bubalis)
Nyati-maji wa kike na ndama
(Bubalus bubalis)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mamalia (Wanyana wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Oda: Artiodactyla (Wanyama wenye vidole viwili au vinne mguuni)
Nusuoda: Ruminantia (Wanyama wanaocheua)
Familia: Bovidae (Wanyama walio na mnasaba na ng'ombe)
J. E. Gray, 1821
Nusufamilia: Bovinae (Wanyama wanaofanana na ng'ombe)
Jenasi: Bubalus (Wanyama kama nyati-maji)
C. H. Smith, 1827
Spishi: B. Bubalis (Nyati-maji)
(Linnaeus, 1758)
Ngazi za chini

Nususpishi 5:

B. b. bubalis (Linnaeus, 1758)
B. b. fulvus (Blanford, 1891)
B. b. kerabau Fitzinger, 1860
B. b. migona Deraniyagala, 1952
B. b. theerapati Groves, 1996

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nyati-maji ni mnyama mkubwa anayejulikana sana, aliye wa spishi Bubalus bubalis katika nusufamilia Bovinae. Spishi hii ina nususpishi tano ndani yake:

  • B. b. bubalis (Nyati-maji)
  • B. b. fulvus
  • B. b. kerabau
  • B. b. migona
  • B. b. theerapati

Nyati-maji

Dodaje.pl - Ogłoszenia lokalne