Nyumbu | ||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Nyumbu kidevu-cheupe magharibi
(Connochaetes taurinus mearnsi) | ||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||
| ||||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||||
Spishi 2, nususpishi 5:
|
Nyumbu (kwa Kiingereza: wildebeest) ni wanyamapori wakubwa wa jenasi Connochaetes katika familia Bovidae. Kwa asili jina hili lilitumika kwa nususpishi C. taurinus mearnsi na C. t. albojubatus, lakini siku hizi spishi na nususpishi zote za Connochaetes huitwa nyumbu.
Wanatokea savana za Afrika tu. Rangi yao ni nyeusi pengine na mng'aro buluu au kahawia.
Dume na jike wana pembe zenye umbo la zile za ng'ombe. Wanyama hawa hula nyasi fupi.