| |||||
Kaulimbiu ya taifa: Iman, Ittehad, Tanzim (Kiurdu: "Imani, Umoja, Nidhamu") | |||||
Wimbo wa taifa: Pak sarzamin shad bad | |||||
Mji mkuu | Islamabad | ||||
Mji mkubwa nchini | Karachi | ||||
Lugha rasmi | Kiurdu, Kiingereza | ||||
Serikali | Jamhuri ya Kiislamu Shirikisho la Jamhuri Arif Alvi Shehbaz Sharif | ||||
Uhuru Abbasiya Dola la Ghazni Ufalme wa Ghor Usultani wa Delhi Dola la Moghul imetangazwa Jamhuri |
kutoka Uingereza 711-962 962–1187 1187-1206 1210-1526 1526-1707 14 Agosti 1947 23 Machi 1956 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
881,912 km² (ya 36) 3.1 | ||||
Idadi ya watu - 2015 kadirio - Msongamano wa watu |
199,085,847 (ya 6) 260.08/km² (ya 55) | ||||
Fedha | Rupia (Rs.) (PKR )
| ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
PST (UTC+5:00) haipo (UTC+6:00) | ||||
Intaneti TLD | .pk | ||||
Kodi ya simu | +92
- |
Pakistani ni nchi ya Asia ya Kusini. Imepakana na Ghuba ya Uarabuni upande wa kusini, Afuganistani na Uajemi upande wa magharibi, Uhindi upande wa mashariki na Uchina kaskazini-mashariki.
Mipaka yake na Uhindi na Uchina haitambuliki kimataifa. Pakistan na Uhindi zote mbili zinadai eneo la Kashmir zikitawala kila moja sehemu za eneo hili.
Jina la Pākistān lina maana ya "nchi ya watu safi" kwa Kiurdu.
Pakistani ina nafasi ya sita kati ya nchi duniani zenye watu wengi.