Papa Paulo III (29 Februari 1468 – 10 Novemba 1549) alikuwa Papa kuanzia tarehe 13 Oktoba/3 Novemba 1534 hadi kifo chake[1]. Alitokea Canino, Viterbo, Italia[2].
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Alessandro Farnese.
Alimfuata Papa Klementi VII akafuatwa na Papa Julius III.