Paul Robeson (Princeton, New Jersey, 9 Aprili 1898 – Philadelphia, Pennsylvania, 23 Januari 1976) alikuwa mwandishi, mwimbaji, mwanariadha, mwigizaji na mwanaharakati wa haki za watu weusi nchini Marekani.
Paul Robeson