| |||||
Kaulimbiu ya taifa: "Firme y Feliz Por La Unión" (Imara na furahifu kwa umoja) | |||||
Wimbo wa taifa: Somos libres, seámoslo siempre "Tuko huru tukae hivyo" | |||||
Mji mkuu | Lima | ||||
Mji mkubwa nchini | Lima | ||||
Lugha rasmi | Kihispania Kiquechua Kiaymara1 | ||||
Serikali | Jamhuri Pedro Castillo Aníbal Torres | ||||
Uhuru ilitangazwa |
28 Julai 1821 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
1,285,216 km² (ya 20) 8.80% | ||||
Idadi ya watu - 2021 kadirio - 2017 sensa - Msongamano wa watu |
34,294,231 (ya 44) 31,237,385 23/km² (ya 198) | ||||
Fedha | Sol (PEN )
| ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC-5) (UTC) | ||||
Intaneti TLD | .pe | ||||
Kodi ya simu | +51
- | ||||
1.) Kiquechua, Kiaymara na lugha za eneo ni lugha rasmi kama ni lugha ya watu wengi wa eneo. |
Peru (pia Peruu) ni nchi ya Amerika Kusini upande wa magharibi ya bara.
Imepakana na Ekuador, Kolombia, Brazil, Bolivia na Chile. Kuna mwambao wa Pasifiki.