Potenza (maana yake Uwezo) ni makao makuu ya mkoa wa Basilicata, Italia Kusini.
Mji huo una wakazi 66,679 (2018).
Potenza