Queensland ni moja ya majimbo manane ya kujitawala ya Jumuiya ya Australia. Idadi ya wakazi wake ni takriban 4,827,200 (Machi 2016). Mji wake mkuu ni Brisbane.
Queensland