Richard Nixon | |
![]() | |
Makamu wa Rais |
|
---|---|
mtangulizi | Lyndon B. Johnson |
aliyemfuata | Gerald Ford |
tarehe ya kuzaliwa | Yorba Linda, California, U.S. | Januari 9, 1913
tarehe ya kufa | Aprili 22, 1994 (umri 81) Manhattan, New York, Marekani |
mahali pa kuzikiwa | Richard Nixon Presidential Library and Museum Yorba Linda, California |
chama | Republican |
ndoa | Pat Ryan (m. 1940–1993) |
watoto | Tricia Nixon Cox na Julie Nixon Eisenhower |
mhitimu wa | Whittier College Duke University |
signature | ![]() |
Richard Milhous Nixon (9 Januari 1913 – 22 Aprili 1994) alikuwa Rais wa 37 wa Marekani kuanzia mwaka wa 1969 hadi 1974. Kaimu Rais wake alikuwa kwanza Spiro Agnew (1969-73), na halafu Gerald Ford aliyemfuata kama Rais, Nixon alipojiuzulu madarakani.Nixon alikuwa ni rahisi pekee wa Marekani ambaye ali ng'atuka na aliye wahi kuchaguliwa mara mbili kwenye nafasi za Uraisi na Umakamo rais.