Richmond | |
Mahali pa mji wa katika Marekani |
|
Majiranukta: 37°32′18″N 77°27′41″W / 37.53833°N 77.46139°W | |
Nchi | Marekani |
---|---|
Jimbo | Virginia |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 204,214 |
Tovuti: www.ci.richmond.va.us |
Richmond ndiyo mji mkuu wa jimbo la Virginia.
Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2007, kuna wakazi wapatao milioni 1.2 wanaoishi katika mji huo.
Mji uko mita 46 kutoka juu ya usawa wa bahari.