Runoko Rashidi (alizaliwa 1954) ni mwanahistoria, mwandishi na mkufunzi nchini Marekani.
Alitoa hotuba kuhusu Uafrocentriki jijini Los Angeles na Paris.
Aliandika Utangulizi wa somo la utamaduni wa Afrika (Introduction to the study of African classical Civilizations, 1993).