Saba ni namba ambayo inafuata sita na kutangulia nane. Kwa kawaida inaandikwa 7 lakini VII kwa namba za Kiroma na ٧ kwa zile za Kiarabu.
7 ni namba tasa.
Namba hiyo katika Kiswahili ina asili ya Kiarabu pamoja na sabini (saba mara kumi).
Saba (namba)