Salerno | |
Majiranukta: 40°41′00″N 14°56′00″E / 40.68333°N 14.93333°E | |
Nchi | Italia |
---|---|
Mkoa | Campania |
Wilaya | Salerno |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 146,045 |
Tovuti: www.comune.salerno.it |
Salerno ni mji wa Italia katika mkoa wa Campania.
Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao 150,000.
Mji upo mita 4 juu ya usawa wa bahari na ni maarufu kwa chuo kikuu cha utabibu ambacho ni kati ya vyuo vikuu vya zamani zaidi duniani.