| |||||
Kaulimbiu ya taifa: Fa'avae i le Atua Samoa (Samoan: "Samoa is founded on God") | |||||
Wimbo wa taifa: The Banner of Freedom | |||||
Mji mkuu | Apia | ||||
Mji mkubwa nchini | Apia | ||||
Lugha rasmi | Samoan, Kiingereza | ||||
Serikali | Parliamentary democracy Malietoa Tanumafili II | ||||
Uhuru Tarehe |
1 Januari 1962 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
2,842 km² (174 ya) 0.3% | ||||
Idadi ya watu - Julai 2012 kadirio - 2006 sensa - Msongamano wa watu |
194,320 (166) 179,186 63.2/km² (126 ya) | ||||
Fedha | Tala (WST )
| ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC-11) (UTC) | ||||
Intaneti TLD | .ws | ||||
Kodi ya simu | +685
- |
Samoa ni nchi ya visiwani ya Polynesia katika Pasifiki ya kusini yenye wakazi 176,710 (2001 sensa). Nchi huru ya Samoa ni sehemu ya magharibi ya funguvisiwa ya Samoa. Sehemu ya mashariki iko chini ya Marekani.