Sardinia (kwa Kiitalia: Sardegna) ni kisiwa kikubwa cha pili katika bahari ya Mediteranea chenye eneo la km² 23,821.
Pamoja na visiwa vidogo vya karibu ni mkoa wenye katiba ya pekee wa Italia. Kwa sasa umegawanyika katika wilaya 8, lakini mwaka 2012 wananchi walipiga kura ya kuzifuta.