| |||||
Kaulimbiu ya taifa: لا إله إلا الله محمد رسول الله(Kiarabu) Lā ilāhā illā-llāhu; muhammadun rasūlu-llāhi "Hakuna mungu ila Allah; Muhammad ni mtume wa Allah" | |||||
Wimbo wa taifa: ash al malik ("Asifiwe mfalme") | |||||
Mji mkuu | Riyadh | ||||
Mji mkubwa nchini | Riyad | ||||
Lugha rasmi | Kiarabu | ||||
Serikali | Ufalme Salman bin Abdulaziz Mohammed bin Salman | ||||
Kuanzishwa Ilitangazwa Ilitambuliwa Iliunganishwa |
8 Januari 1926 20 Mei 1927 23 Septemba 1932 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
2,149,690 km² (ya 13) 0.7% | ||||
Idadi ya watu - 2019 kadirio - Msongamano wa watu |
34,218,1691 (ya 40 2) 15/km² (ya 174) | ||||
Fedha | Riyal (SAR )
| ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC+3) +3 (UTC) | ||||
Intaneti TLD | .sa | ||||
Kodi ya simu | +966
- | ||||
1 Kadirio la jumla ya wakazi pamoja na watu 5,576,076 wasio wazalendo |
Ufalme wa Uarabuni wa Saudia (المملكة العربية السعودية, al-mamlaka al-'arabiyya as-sa'audiyya ) ni nchi kubwa kati ya nchi za Bara Arabu.
Imepakana na Yordani, Iraq, Kuwait, Qatar, Bahrain, Falme za Kiarabu, Oman na Yemen.
Kuna pwani ya Ghuba la Uajemi upande wa kaskazini-mashariki na Bahari ya Shamu upande wa magharibi.